Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
HaaaMdala
Huyo ni mmama na siyo mwanamke in general!MMAHE
Ntwara moja. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kumbe wewe ni Mchagga mkuu?!Mndumka
Ooh. Sawa.Huyo ni mmama na siyo mwanamke in general!
Sasa tuambie mwanamke anaitwaje kwa hicho kilugha!Ooh. Sawa.
Uniambie wewe uliyenirekebisha kwani utakuwa unakijua hicho kilugha zaidi yangu.Sasa tuambie mwanamke anaitwaje kwa hicho kilugha!
Ndio ndio mkuuKumbe wewe ni Mchagga mkuu?!
Hata sisi tunatumia hilohilo la Mndumka mkuu!Ndio ndio mkuu
Ila wakibosho wanajina lao
Warombo wanajina lao
Sisi wamarangu ndio hilo nililotaja hapo
Wamachame pia wanajina lao
duuuh!undertwentyboy