chief1
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,418
- 1,449
Kuna watu watakimbilia bafuni mkuu nikiweka picha yakeNi kweli mkuu atujawai kumuona. Tupia kapicha tumuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu watakimbilia bafuni mkuu nikiweka picha yakeNi kweli mkuu atujawai kumuona. Tupia kapicha tumuone
Hahahahaha....Samahani mkuu. Sijakulelewa!. Una maanisha nini?
![]()
... Vp yale mambo yetu na Ustaadh Kipoozeo anayo? Sisi wabantu hiyo ni criteria ya kwanza...Amepata kura yangu. Ni mrembo pasipo shaka.
alafu wew una miakili sana ujue!!!Mwanamke Chura au sio [emoji196] haahaaa
Nawe pia ni mrembo ndo mana umeukwaa huo u first lady1Kumbe !
Ukifa sisi Masela kitaa tutakula wali Kisha tutamalizia kwa kusema "Amekufa kikondoo "Aisee wema hata akiwa na Ngoma nakula tena kavu
What a beutyfully woman?
Dah!!mkuu kweli.yale macho,we achaTanzania kuna mabinti wazuri wengi sana kiasi kwamba ni ngumu kuchagua mmoja na kusema ni mzuri zaidi ya wote.
Ila jamani Ray C kabla hajazeeka alikuwa mzuri sana [emoji7] [emoji7]
acha wivu,wema mzuri...hasa kipindi ambacho alikuwa hajavamia vipodozi vya mjini,HATARII..ukipenda chongo huita kengeza...
Kuna demu hata akikupa NgomaUkifa sisi Masela kitaa tutakula wali Kisha tutamalizia kwa kusema "Amekufa kikondoo "
[emoji41] sasa hapo kwa Wema Tafuta sanduku lake la Posta MkuuKuna demu hata akikupa Ngoma
Unajisifia umekufa kishujaa
Seriously I will die smiling
Wema hizi taarifa zikufikie nakupenda zaidi ya ambavyo umewahi kupendwa kabla
Wanasema anapatikana zaidi insta ila Mimi siujui huo mtaa[emoji41] sasa hapo kwa Wema Tafuta sanduku lake la Posta Mkuu
Weka tuKuna watu watakimbilia bafuni mkuu nikiweka picha yake
Mkuu mimi nipo Huku kijijini Kabisa Kirua Vunjo Moshi so siwezi pata sanduku lake la Posta.Wanasema anapatikana zaidi insta ila Mimi siujui huo mtaa
Nipo huku TARIME
nisaidie ilo sanduku lake la posta mkuu
Kweli kuna maneno ya kiswahl mengi siyajui MANGURUNYI aisee[emoji1] [emoji1]Hahahahaha....
Mwili umejaa mangurunyi..
Ngoja tusubiri watoto wa mjini waje watusaidieMkuu mimi nipo Huku kijijini Kabisa Kirua Vunjo Moshi so siwezi pata sanduku lake la Posta.
Unampenda au?Nancy nae ashazeeka mbona, Maana huyu kwa sasa ni Mzee na last time aliyekuwa akishikiria Taji la Urembo bora Natural alikuwa ni Miriam Odemba kabla hajazeeka alikubalika ndani na Nje Ya Tanzania... huyu Nancy alimchanganya Mb Doggy tu labda na wewe tu... Ndie ule wimbo wa Litifa na Si uliniambia (Waja).. na Natamani nikufuateTanzania kuna wanawake warembo wengi sana ila kila nikipepesa macho akili inarudi kwa huyu mrembo
Mzuri Kiakili na Kimwili NANCY SUMARI
wadau kama mna mawazo tofauti tupieni picha kupinga hili
View attachment 471369
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna watu watakimbilia bafuni mkuu nikiweka picha yake