Mwanamke maarufu mrembo kuliko wote Tanzania

Mwanamke maarufu mrembo kuliko wote Tanzania

Samahani mkuu. Sijakulelewa!. Una maanisha nini?

images
Hahahahaha....
Mwili umejaa mangurunyi..
 
Tanzania kuna wanawake warembo wengi sana ila kila nikipepesa macho akili inarudi kwa huyu mrembo

Mzuri Kiakili na Kimwili NANCY SUMARI

wadau kama mna mawazo tofauti tupieni picha kupinga hili
View attachment 471369
Unampenda au?Nancy nae ashazeeka mbona, Maana huyu kwa sasa ni Mzee na last time aliyekuwa akishikiria Taji la Urembo bora Natural alikuwa ni Miriam Odemba kabla hajazeeka alikubalika ndani na Nje Ya Tanzania... huyu Nancy alimchanganya Mb Doggy tu labda na wewe tu... Ndie ule wimbo wa Litifa na Si uliniambia (Waja).. na Natamani nikufuate

 
Back
Top Bottom