Mwanamke miaka 40’s, nahitaji mume

KuKu1

New Member
Joined
Feb 24, 2025
Posts
2
Reaction score
24
Niwe tu muwazi nahitaji mume Mkristo miaka kuanzia 45+ asiwe mume wa mtu, najua wengi wapo wapweke humu karibu tuyajenge.

Awe tayari kupima HIV....
Awe na akili Timamu.....
Awe anayejua nafasi yake kama mume.....
Wajukuu na walembwe uzi huu hauwahusu....

Nawasilisha🙏
 
Kwanza Watu wengi tunaogopa sana I'd mpya, uhakika unakosekana kama kweli u mhitaji au kuna mengine.
Pili ni kwa ucheche mno kumkuta mwanaume wa miaka 45 ambaye hana mke , na hao wachache kamwe hawapo hapa Jf, na hata kama wapo wamesha katishwa sana tamaa na wanawake hivyo hawahitaji tena.
Tatu ungeweka maelezo ya kutisheleza kuhusu wewe, halafu usingeweka ukomo wa umri ila hao ambao wangekuja ungechambua usingekosa wa kukidhi haja ila sio aliye mkamilifu moja kwa moja.

Ya mwisho mahusiano , na ndoa hayana faida ya moja kwa moja zaidi sana migogoro ya hapa na pale na ukosefu wa amani na furaha kwa wingi.

Zaidi sana nakutakia kufanikiwa.
 
Una watoto? Au sahihi zaidi niulize KuKu1 una vifaranga? Wangapi? Uliwahi kuolewa? Unatafuta mtu ambaye hajaoa kabisa au alioa na ndoa ikavunjika?
 
Umenena vyema!

Hajasema chochote kuhusu yeye, hata umri wake tu hajataja. Very incompitent.
 
Rasmi sasa wazee tumefikiwa, changamoto ni kupata 45+ aliye single kabisa, ngumu.

Lakini pia kwa wazoefu wa humu, ngumu sana kwenda sawa na hizi ID mpya, ungekuja kizamani ingekuwa poa sana.
 
unaweza kukuta huyu ni jamaa yako kabisa jukwaa la michezo au intelligence forum kuhusu umri si tatizo yupo yule jamaa aitwaye @kikohozi nadhani anaendana na profile anayoitaka.
 
Sema unatafuta Mume wa MTU, Au Mgane, au mtalaka, asiyekuwa na nguvu za kiumbe ,asiye na Uchumi .

Miaka 45 Mkuu, Kwa mwanaume mwenye kazi, Uchumi wakez hata kama katalakiana, ni ngumu kwake kuoa Tena mwanamke wa 40+
 
Kupima tunapima wala sio tatizo.........ila usichezeshe vicoba na michezo kama nicolle joycebell .. .............. nyashi ,chura kiziwi,kibwagizo...........mtuno lipo?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…