Kwanza Watu wengi tunaogopa sana I'd mpya, uhakika unakosekana kama kweli u mhitaji au kuna mengine.
Pili ni kwa ucheche mno kumkuta mwanaume wa miaka 45 ambaye hana mke , na hao wachache kamwe hawapo hapa Jf, na hata kama wapo wamesha katishwa sana tamaa na wanawake hivyo hawahitaji tena.
Tatu ungeweka maelezo ya kutisheleza kuhusu wewe, halafu usingeweka ukomo wa umri ila hao ambao wangekuja ungechambua usingekosa wa kukidhi haja ila sio aliye mkamilifu moja kwa moja.
Ya mwisho mahusiano , na ndoa hayana faida ya moja kwa moja zaidi sana migogoro ya hapa na pale na ukosefu wa amani na furaha kwa wingi.
Zaidi sana nakutakia kufanikiwa.