una watotoNiwe tu muwazi nahitaji mume Mkristo miaka kuanzia 45+ asiwe mume wa mtu, najua wengi wapo wapweke humu karibu tuyajenge.
Awe tayari kupima HIV....
Awe na akili Timamu.....
Awe anayejua nafasi yake kama mume.....
Wajukuu na walembwe uzi huu hauwahusu....
Nawasilisha๐
Halafu ni kuku,Kwanza Watu wengi tunaogopa sana I'd mpya, uhakika unakosekana kama kweli u mhitaji au kuna mengine.
Pili ni kwa ucheche mno kumkuta mwanaume wa miaka 45 ambaye hana mke , na hao wachache kamwe hawapo hapa Jf, na hata kama wapo wamesha katishwa sana tamaa na wanawake hivyo hawahitaji tena.
Tatu ungeweka maelezo ya kutisheleza kuhusu wewe, halafu usingeweka ukomo wa umri ila hao ambao wangekuja ungechambua usingekosa wa kukidhi haja ila sio aliye mkamilifu moja kwa moja.
Ya mwisho mahusiano , na ndoa hayana faida ya moja kwa moja zaidi sana migogoro ya hapa na pale na ukosefu wa amani na furaha kwa wingi.
Zaidi sana nakutakia kufanikiwa.
Kama atapata basi amefiwa na mkeweRasmi sasa wazee tumefikiwa, changamoto ni kupata 45+ aliye single kabisa, ngumu.
Lakini pia kwa wazoefu wa humu, ngumu sana kwenda sawa na hizi ID mpya, ungekuja kizamani ingekuwa poa sana.
Labda aende kwa Gwajima, Mwamposa na Kakobe huko anaweza kubahatikaPili ni kwa ucheche mno kumkuta mwanaume wa miaka 45 ambaye hana mke , na hao wachache kamwe hawapo hapa
Ukipata wengi wengi nrushie 1..kila la heriNimesoma coment zote nimepata majibu mazuri ambayo ni kama yanajibiwa na third part ...Naomba comment iwe yako sio kumuongelea mwengine....
Comment ya kiume sana hii . maturityUsijali utapata tu! Ni wanawake wachache wenye ujasiri kama wewe kuwa wazi namna hiyo!
Yupo wa kwako ambaye Mungu amemuandaa kwa ajili yako! ANAKUJA!
Na mwenye kisukari kingi ๐นKama atapata basi amefiwa na mkewe
๐น๐น๐นNjoo nikupe kaka angu, bonge la handsome halafu shombe shombe ila HANA HELA.
Wewe utakaye muoa lazima uwe unawika hiyo ndo maana yake!๐Imagine unaenda kuoa mtu anaitwa kuku ๐๐๐๐
Wewe utakaye muoa lazima uwe unawika hiyo ndo maana yake!๐
Dr Sasa mwanaume anakosaje Hela๐๐Njoo nikupe kaka angu, bonge la handsome halafu shombe shombe ila HANA HELA.
Weka pichaNiwe tu muwazi nahitaji mume Mkristo miaka kuanzia 45+ asiwe mume wa mtu, najua wengi wapo wapweke humu karibu tuyajenge.
Awe tayari kupima HIV....
Awe na akili Timamu.....
Awe anayejua nafasi yake kama mume.....
Wajukuu na walembwe uzi huu hauwahusu....
Nawasilisha๐