Mwanamke miaka 40’s, nahitaji mume

No 2
Wapo wanaume kibao wa huo umri na hawajaoa Kwa sbb mbalimbali.

Hizo nyingine sijui🤣
 
🤣🤣🙌
Rasmi sasa wazee tumefikiwa, changamoto ni kupata 45+ aliye single kabisa, ngumu.

Lakini pia kwa wazoefu wa humu, ngumu sana kwenda sawa na hizi ID mpya, ungekuja kizamani ingekuwa poa sana.
 
Mungu akupe hitaji la moyo wako
 
Nina sifa zote Hadi UKIMWI nimepima juzi Kati ila hii sifa ya Mume wa MTU Tu ndio kipengele but sidhani kama ni Shida Sana. She's very polite, Wewe tuyajenge tu
 
Kila la kheri Bi Kuku,lakini jina lako lina uchachu kidogo kwa lugha yetu ya Xhosa.Sema siyo kesi sababu huko ni kitoweo.
 
Nawasilisha🙏
40 juu ya Meza hii hapa shuka linakumbukwa ilimradi awe ana pumua tu hela sio kigezo, umri huo Bibi Kizee hujatutajia idadi ya watoto walio hai na uliowachoropoa tujue jinsi ya kufanya bila kuwasahau wajukuu
 
Hizo sifa ulizoweka, umri ukizidi kwenda utapunguza moja moja mpaka ziishe. Mwisho aje mwanaume yeyote.
 
Wengine hawajapata wanaowataka
Wengine hawajaamua
Mhh!
Sio kweli.
Mwanaume anaanza kutafuta wa kumuoa akiwa chini ya mika 20, sasa kama anaendelea kutafuta mpaka mwaka wa 40 yaani miaka 20 mbele ujue huyo hata aje mwanamke mkamilifu kiasi gani bado ataona hafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…