Mwanamke mmoja aliomba 200k kwa dharura kilichotokea ni hichi

Mwanamke mmoja aliomba 200k kwa dharura kilichotokea ni hichi

fired

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
233
Reaction score
522
Mwaka jana mwanamke mmoja aliomba Gerald .Aliomba TSH200k as a kwa dharura. mara ya kwanza aliogopa lakini mwanadada alilia . Alikua anaitwa Mwende

Hakuwa na pesa kwa hivo ilibidi aombe KCB . Mungu akubariki sijui ningefanya nini

Ni sawa dada nenda utatue shida zako .usinikose umeona ni kukopa nimekopa mwanadada alikua akituma ujumbe mfupi sitakukosea nikilipwa nitakurudushia

Siku mbili kabla ya kulipwa simu yake ilizima siku .Baada ya hapo aliwacha kushika simu

Alishindwa kulipa pesa ikabidi KCB wamempeleka kituo cha walioshindwa kulipa

Juzi alipata ujumbe mfupi kutoka namba haijulikani.Pole nilikukosea kuja tuonge nilimwita akakuja hoteli nilipomwita .

Sasa niambie kuliendaje. nilimuuliza baada tule. Nilimwambia anunue anachotaka. Kazi nilifutwa, nikafungiwa nyumba ikabidi niuze simu nilipe mwenye nyumba ili anitolee vitu zangu. Nilienda kwa rafiki yangu ambaye alinipea makao kabla nipate kazi. Ile kazi ninafanya sasa hivi ni ya kuuza nguo . yaani mchuuzi. alieleza. Sasa hivi ata pesa yako sina lakini sijasahau.
hio nililipa ukipata utalipa . aliamka , alimkumbatia , na kumpiga busu. "Asante sana . Nimekuwa nikikosa usingizi . nilikuona na panga ndotoni ukijaribu kunipiga.

Baada ya kuongea wakaamua waende kwa nyumba ya huyu msichana, kuangalia jokofu
" masoda, ma mvinyo, manyama, makeki, ma fridge, .". Karibu . Alishindwa kuuliza mchuuzi anaweza aje kuishi hivi .
aliwachwa sebuleni akiona runinga msichana akaenda kuoga . akaenda kuoga. kutoka bafu, alitoka na panti na bra pekee. akanza kujipaka mafuta. alijaribu kujizuia kumuangalia akashindwa.
Gerald, kuna joto . ata wewe enda uoge. alienda akaoga . " wewe ndio mwanaume mzuri nimewai pata Ulinisaidia nikiwa na shida. Leo ni fursa yangu kulipa. Kwa ufupi elfu mia mbili ni kama imepotea kwa kupewa ngono .
 
Laki 2 ya Kenya kama Elfu ngapi hivi ya Bongo?
 
Laki 2 ya Kenya kama Elfu ngapi hivi ya Bongo?
Hio ni ndefu Mzee

1000 ya bongo ni sawa na Shilling 10 ya Kenya maana yake shilling 100 ya bongo ni sawa na shilling 1 ya Kenya sasa weka 200,000 ya Kenya ni sawa na shilling ngapi ya Kenya chukua 200,000 zidisha mara 100 unapata 20,000,000 ya Tanzania Shilling

Huo ni mfano tu ila kwa leo shilling 1 ya Kenya ni sawa na shilling 20.125 ya Tanzania

Maana yake chukua 200,000 zidisha na 20 unapata ngapi?
4,000,000 tu
 
Ni around mara 20 sio 100
 
Yaani nimetoka kapa utadhani katumia lugha ya kifaransa kumbe ni lugha mama.
Ipo hivi kwa kufupisha

Jamaa alikopwa Million 4 na manzi akasema atamlipa
Manzi hakumlipa alipata matatizo
Manzi ili kulipa deni akampa penzi jamaa akamgonga ndio ikawa imetoka hio kwa hio ameuziwa usiku mmoja kwa 4 Million

Hujaelewa nini?
 
Hi story ipo kitambo hapa JF...

Ipo hivi kwa kufupisha

Jamaa alikopwa Million 4 na manzi akasema atamlipa
Manzi hakumlipa alipata matatizo
Manzi ili kulipa deni akampa penzi jamaa akamgonga ndio ikawa imetoka hio kwa hio ameuziwa usiku mmoja kwa 4 Million

Hujaelewa nini?
hapo umesomeka..Mwambie Sikunyingine asifanye upuuzi huo..Mwanamke huwa hakopeshwi hela zote hzo tena bila hata maandishi..Nikimwambia mimi hatutoelewana Kiswahili mfikishie wewe huu ujumbe. Mkalimani Wangu.
 
Kitu hiki ni cha 2022 na inawezekana kimeanza kukopiwa tangu 2010, ogopa Mungu ogopa Teknolojia kuumbuka ni dakika sifuri
 
Back
Top Bottom