Akili yako unaijua mwenyewe, ila nimecheka sana 😂Ipo hivi kwa kufupisha
Jamaa alikopwa Million 4 na manzi akasema atamlipa
Manzi hakumlipa alipata matatizo
Manzi ili kulipa deni akampa penzi jamaa akamgonga ndio ikawa imetoka hio kwa hio ameuziwa usiku mmoja kwa 4 Million
Hujaelewa nini?