Hio ni ndefu MzeeLaki 2 ya Kenya kama Elfu ngapi hivi ya Bongo?
4M hiyoLaki 2 ya Kenya kama Elfu ngapi hivi ya Bongo?
Ni around mara 20 sio 100Hio ni ndefu Mzee
1000 ya bongo ni sawa na Shilling 10 ya Kenya maana yake shilling 100 ya bongo ni sawa na shilling 1 ya Kenya sasa weka 200,000 ya Kenya ni sawa na shilling ngapi ya Kenya chukua 200,000 zidisha mara 100 unapata 20,000,000 ya Tanzania Shilling
Huo ni mfano tu ila kwa leo shilling 1 ya Kenya ni sawa na shilling 20.125 ya Tanzania
Maana yake chukua 200,000 zidisha na 20 unapata ngapi?
4,000,000 tu
mkeny anajitahidi ila haelewek freshUmeandika nini we mkenya
Ipo hivi kwa kufupishaYaani nimetoka kapa utadhani katumia lugha ya kifaransa kumbe ni lugha mama.
Soma mpaka mwisho ni 20.125Ni around mara 20 sio 100
hapo umesomeka..Mwambie Sikunyingine asifanye upuuzi huo..Mwanamke huwa hakopeshwi hela zote hzo tena bila hata maandishi..Nikimwambia mimi hatutoelewana Kiswahili mfikishie wewe huu ujumbe. Mkalimani Wangu.Ipo hivi kwa kufupisha
Jamaa alikopwa Million 4 na manzi akasema atamlipa
Manzi hakumlipa alipata matatizo
Manzi ili kulipa deni akampa penzi jamaa akamgonga ndio ikawa imetoka hio kwa hio ameuziwa usiku mmoja kwa 4 Million
Hujaelewa nini?
Kitu hiki ni cha 2022 na inawezekana kimeanza kukopiwa tangu 2010, ogopa Mungu ogopa Teknolojia kuumbuka ni dakika sifuricopied ast year a certain lady approached me for a help. She humbly requested me to lend her 100k tzsh as a matter of urgency. At first I was reluctant since I was not social with her. She pleaded to an extent of crying. Haki nikopeshe. Ukiona nikikuomba usaindizi , iam desperate.
I considered her as my sister. Since I had no money at that time, I borrowed from KCB mpesa 120k tzsh.
Nikampatia 100k after she promised to refund within one month. "May God bless you" she told me as she cried extensively. Haki umenisaidia. Sijui ningefanya nini.
Its OK my sister. Go and sort your problems...
- mfutwa1
- kulipwa papuchi pesa
- Replies: 48
- Forum: The Lounge
C&P hio halafu hajasemahapo umesomeka..Mwambie Sikunyingine asifanye upuuzi huo..Mwanamke huwa hakopeshwi hela zote hzo tena bila hata maandishi..Nikimwambia mimi hatutoelewana Kiswahili mfikishie wewe huu ujumbe. Mkalimani Wangu.
englishKwani wakenya ni lugha gani muna iweza kwa usahihi