Mwanamke mmoja huko Mtwapa amlima makonde Jirani yake kisa ameanika chupi zake karibu na boxer za mmewe

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,501
Reaction score
6,649
Mwanamke mmoja huko Mtwapa amlima makonde Jirani yake kisa ameanika chupi zake karibu na boxer za mmewe.

Kulingana na taarifa ni kwamba mama huyo alifua boxer za mmewe na kuzianika ila baadae alipoenda kuziondoa alimpata Jirani yake ameanika chupi zake karibu na boxer hizo.

 
Haya machupichupi ya kike yana hisia kali mwanaume akiyaona yameanikwa baada ya kufuliwa. Kuna familia hawana aibu kabisa, utakuta chupi za mabinti wakubwa na mama yao wameanika chupi zao hadharani huku baba yao na kaka zao wanaziona, hawafuniki hata kwa kanga ili kupunguza macho ya kuzitazama. Ni kama hawana heshima kuanika chupi zao hadharani
 
Kisa si hicho, huyo aliyeanika kamfanyia mipasho kuwa yeye na mume wa mpangaji mwenzake ni saresare wapendanao.
 
Zikipigwa na jua inazuia UTI na PID.
 
Hataki zero distance kati ya boxer ya mumewe na chupi ya jirani mwanamke!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…