Mwanamke mmoja huko Mtwapa amlima makonde Jirani yake kisa ameanika chupi zake karibu na boxer za mmewe

Kama ulikua hujui kuwa duniani kuna mwanamke amewahi kumpiga mwenzake kisa kuanika CHUPI karibu na BOXER za mumewe wacha nikufahamishe;-
Katika hali isio kuwa ya kawaida kuwahi kutokea duniani,
Mwanamke mmoja amemshushia makonde mwanamke mwenzake,
Baada ya mwanamke huyo kuona mwanamke mwenzake,
Ambae ni jirani yake ameanika chupi yake karibu na boxer ya mumewe,
Tukio hilo la aina yake limetokea nchini KENYA,
Kwenye mtaa wa MTWAPA uliopo katika jiji la MOMBASA,
Ambapo awali mama huyo alifua boxer za mmewe na kuzianika,
Aliondoka nyumbani kwenda kwenye biashara zake,
Aliporudi alienda kwenye kamba kuanua boxer za mumewe,
Sasa alipokwenda ndipo alipokuta jirani yake kaanika chupi yake,
Karibu na boxer za mumewe kama unavyo ona hapo chini,
Ndipo alipoamua kumfuata jirani yake kwenye chumba chake,
Kisha kuamua kumuangushia mvua ya makonde,
Ambapo majirani zao baadae waliingilia kati,
Na kuwaamulia huku mwanamke aliepigwa alipelekea hospitali,
Na mwanamke aliempiga mwenzie amekamatwa na polisi.
 
Chupa za plastic kilo ni 2000...
Vijana mnakwama wapi..?

.mpaka sasa hakuna kijana aliyetafuta fursa ya kutengeneza mayai ya chupa ya chai...mnakwama wapi...?

Wake up kijana mda ni wako.
Wewe ni baba wa hapo badae je unazani utasomesha watoto wako kwa misaada ya ndgu jamaa na marafiki.

Kijana pambanuka wake up kijana
 
Chupi zinafaa kupigwa mwanga maana mwanga husaidia kuua baadhi ya bakteria... Kuzianika gizani na uvunguni ndo mwanzo ya magonjwa mengine ya sehemu za siri.
 
Huyo anawivu Hatari,michupi tuu!
 
Si anadumisha ujirani mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ