min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ni noma sana, kwa kweli na jamaa anajiweza mno kiuchumi , fikiria kachapiwa tu na mhuni mmoja 🤔Aisee, mahusiano nayo🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni noma sana, kwa kweli na jamaa anajiweza mno kiuchumi , fikiria kachapiwa tu na mhuni mmoja 🤔Aisee, mahusiano nayo🙌
Ukitafuta pombe nyingi ziko wapi, africa hutoikuta,ukitafuta brothels na ngono nyingi wapi, africa hutoikutaAfricans are good at theft, ngono ane pombe.
UongoUkitafuta pombe nyingi ziko wapi, africa hutoikuta,ukitafuta brothels na ngono nyingi wapi, africa hutoikuta
Ndo hivyo mkuu..... mambo haya hayana mwenyeweNi noma sana, kwa kweli na jamaa anajiweza mno kiuchumi , fikiria kachapiwa tu na mhuni mmoja 🤔
Wivu na mbususu umepitwa na wakati.Juzi kati kuna jamaa yangu mmoja kagundua watoto wote watatu kachapiwa ndoani , kahamia bar anamkia kazini humo humo😂😂😂
Siyo January Makamba huyu jamani, naona anasingiziwa tuWakuu
Taarifa kutoka Equatorial Guinea zinaeleza Mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa muathirika wa kashfa ya video za ngono za mwanasiasa wa Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, amejiua ili kuondokaa na aibu baada kigogo huyo kunaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mbalimbali mashuhuri.
Aidha, Serikali ya Equatorial Guinea imewafuta kazi maafisa wote wa serikali ambao walihusishwa na kufanya mapenzi katika ofisi za wizara. Makamu wa Rais Teodoro Nguema amesema kuwa kitendo hicho ni ukiukwaji wa Kanuni za Maadili na sheria za nchi.
Pia, Soma: Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati
Kwani hao wake za vigogo kabla ya kuolewa si wana past history ya kuliwa na watu wa kawaida tena wengine wakiliwa na vibaka na mateja, sema ukwasi tu ndiyo unawapaisha wanawake.....ila asili ya mtu haipotei kamwe. Hakuna cha hajabu hapa.Wengi wa masikini huwa wanajua sana kujifariji eti matajiri hatuna nguvu za kiume mara sijui wanavibamia Sasa Jana wamejionea wake zao wanavyogongwa na tajiri kutoka guinea yaani wanawake zaidi ya mia 400 na kawachakaza vibaya San aisee wazee msijifariji matajiri tuna hatari tunapiga paipu na tuna ndonga za maana
mwambie huyo aende carlifornia kwenye studio nyingi za wacheza ngono. Au las vegas kwenye brothels na ma casinoUkitafuta pombe nyingi ziko wapi, africa hutoikuta,ukitafuta brothels na ngono nyingi wapi, africa hutoikuta
Atakayebisha hapa basi tena"Akinicheat na mimi namcheat."
–Mwanamke mjinga
SWALI: Unafikiri mpaka sasa kati ya Baltasar na wake za watu aliowala nani wameaibika zaidi?
JIBU: Wake za watu
SWALI: Unafikiri kati ya ndoa ya Baltasar na ndoa za wake za watu zipi ziko hatarini kuvunjika?
JIBU: Wake za watu
SWALI: Unafikiri kati ya familia na ndugu za Baltasar na familia na ndugu za wake za watu zipi zimeaibika?
JIBU: Familia za wake za watu
Mpaka sasa jamaa anazungumziwa kwenye mitandao kama shujaa kwa kumega wake za watu. Lakini hakuna anayewasifu wake za watu zaidi wanatajwa kuwa ni malaya.
Huwa nashangaa sana wanawake wanaosema mume akicheat nao wanacheat. Kupitia hili sakata la Guinea nadhani wamepata majibu.
Kwa jinsi jamaa amepeleka moto kwa wake za watu atazidi kuwavutia wanawake wengine awasugue. Hata mke wake aondoke leo jamaa kesho anavuta manzi mwingine ASAP
Shida ni kwa hawa wake za watu wakiachika na video zao zimevuja nani atathubutu kuwafanya wake?
Learn or Perish
Hivi yule jamaa yupo kwenye kundi la matajiri au wakubwa wa serikali? Yule si ni CAG kwa hapa kwetu? Au mi ndio sijaelewa kile Kingereza?Wengi wa masikini huwa wanajua sana kujifariji eti matajiri hatuna nguvu za kiume mara sijui wanavibamia Sasa Jana wamejionea wake zao wanavyogongwa na tajiri kutoka guinea yaani wanawake zaidi ya mia 400 na kawachakaza vibaya San aisee wazee msijifariji matajiri tuna hatari tunapiga paipu na tuna ndonga za maana
Imekaa poaMalizia bwana and vice versa is true... A man with zero girl is loser and girl with zero boy is diamond.
Lazima ukweli usemweAtakayebisha hapa basi tena
Kataa ndoa wapo sahihi
Mwanamke malaya ni kama choo cha kulipia
Mke wa mtu kwa nini unachepuka? Huna uwezo wa kusema ‘hapana, mimi nina ndoa yangu. Siwezi kufanya hivyo’?