Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

Attachments

  • Screenshot_2024-11-05-18-53-33-767.jpg
    Screenshot_2024-11-05-18-53-33-767.jpg
    277.1 KB · Views: 7
Wakuu

Taarifa kutoka Equatorial Guinea zinaeleza Mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa muathirika wa kashfa ya video za ngono za mwanasiasa wa Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, amejiua ili kuondokaa na aibu baada kigogo huyo kunaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mbalimbali mashuhuri.

Aidha, Serikali ya Equatorial Guinea imewafuta kazi maafisa wote wa serikali ambao walihusishwa na kufanya mapenzi katika ofisi za wizara. Makamu wa Rais Teodoro Nguema amesema kuwa kitendo hicho ni ukiukwaji wa Kanuni za Maadili na sheria za nchi.

Pia, Soma: Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati
Siyo January Makamba huyu jamani, naona anasingiziwa tu
 
Wengi wa masikini huwa wanajua sana kujifariji eti matajiri hatuna nguvu za kiume mara sijui wanavibamia Sasa Jana wamejionea wake zao wanavyogongwa na tajiri kutoka guinea yaani wanawake zaidi ya mia 400 na kawachakaza vibaya San aisee wazee msijifariji matajiri tuna hatari tunapiga paipu na tuna ndonga za maana
Kwani hao wake za vigogo kabla ya kuolewa si wana past history ya kuliwa na watu wa kawaida tena wengine wakiliwa na vibaka na mateja, sema ukwasi tu ndiyo unawapaisha wanawake.....ila asili ya mtu haipotei kamwe. Hakuna cha hajabu hapa.
 
Ukitafuta pombe nyingi ziko wapi, africa hutoikuta,ukitafuta brothels na ngono nyingi wapi, africa hutoikuta
mwambie huyo aende carlifornia kwenye studio nyingi za wacheza ngono. Au las vegas kwenye brothels na ma casino
 
"Akinicheat na mimi namcheat."
–
Mwanamke mjinga

SWALI: Unafikiri mpaka sasa kati ya Baltasar na wake za watu aliowala nani wameaibika zaidi?

JIBU: Wake za watu

SWALI: Unafikiri kati ya ndoa ya Baltasar na ndoa za wake za watu zipi ziko hatarini kuvunjika?

JIBU: Wake za watu

SWALI: Unafikiri kati ya familia na ndugu za Baltasar na familia na ndugu za wake za watu zipi zimeaibika?

JIBU: Familia za wake za watu

Mpaka sasa jamaa anazungumziwa kwenye mitandao kama shujaa kwa kumega wake za watu. Lakini hakuna anayewasifu wake za watu zaidi wanatajwa kuwa ni malaya.

Huwa nashangaa sana wanawake wanaosema mume akicheat nao wanacheat. Kupitia hili sakata la Guinea nadhani wamepata majibu.

Kwa jinsi jamaa amepeleka moto kwa wake za watu atazidi kuwavutia wanawake wengine awasugue. Hata mke wake aondoke leo jamaa kesho anavuta manzi mwingine ASAP

Shida ni kwa hawa wake za watu wakiachika na video zao zimevuja nani atathubutu kuwafanya wake?

Learn or Perish
Atakayebisha hapa basi tena
 
Wengi wa masikini huwa wanajua sana kujifariji eti matajiri hatuna nguvu za kiume mara sijui wanavibamia Sasa Jana wamejionea wake zao wanavyogongwa na tajiri kutoka guinea yaani wanawake zaidi ya mia 400 na kawachakaza vibaya San aisee wazee msijifariji matajiri tuna hatari tunapiga paipu na tuna ndonga za maana
Hivi yule jamaa yupo kwenye kundi la matajiri au wakubwa wa serikali? Yule si ni CAG kwa hapa kwetu? Au mi ndio sijaelewa kile Kingereza?
 
Mwanamke malaya ni kama choo cha kulipia
Kila mtu anaingia na kutoka, cha ajabu kuna mjinga mmoja atakuja kumlipia mahari, atampigia goti na kumvalisha pete na kumfanya mke.

Halafu mwisho wa siku wahuni watakuja kum-Baltasarization mkewe bure

If she slept with other men for free should be offered for free
 
Mke wa mtu kwa nini unachepuka? Huna uwezo wa kusema ‘hapana, mimi nina ndoa yangu. Siwezi kufanya hivyo’?
 
Jamaa kwa maoni yangu katrend Sana kutokana na namba ya women aliowaxagamua but sifa zingine wabongo humu wanakuza ...Yupo kawaida Sana size ,motion it's common hakuna jipya labda titles za wahanga ndo katisha...Nawasilisha
 
Jamaa kwa maoni yangu katrend Sana kutokana na namba ya women aliowazagamua but sifa zingine wabongo humu wanakuza ...Yupo kawaida Sana size ,motion and mizagamuo yote ni common hakuna jipya labda titles za wahanga ndo katisha...Nawasilishac
 
Mke wa mtu kwa nini unachepuka? Huna uwezo wa kusema ‘hapana, mimi nina ndoa yangu. Siwezi kufanya hivyo’?
A woman who has gone ahead to taste different men's dick can never be satisfied by a single man

Hawa ni wanawake ambao hawana sexual discipline

Ni jukumu la mtaa kuridhisha sexual desires zao
 
Back
Top Bottom