Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

Uongo.
Weka hiyo video,
majungu tu hayo.
Kuhusu Baltazar kuna uongo mwingi sana.

1. Hakuna video 400 zipo mbili tatu ambazo zimekuwa segemented
2.Hakuna wake wa viongozi hata hao wanaoonekana sio wake za wakuu.
3. Kuna hisia kuwa Baltazar anapigwa kisiasa, character assassination

Swala la uzinzi linafanywa na watawala wote na maofisa wanaokula hela za bure, rushwa, biashara haramu na ma chawa. So sio issue kubwa kama inavyotaka kufanywa
 
Kila kitu ni mtazamo tu:
Bw. Ebang Engonga amewalipia walala hoi wote ambao wamewahi kuchapiwa wake zao na vibopa/wazito.
UKiangalia vizuri amekula wake za watu ambao kwa kawaida ndio wanaongoza kula wake za watu wengine. Mabinti hawapati kazi bila kutoa mzigo kwao.
Kwahiyo bwana ebang katulipia wanyonge
 
Bahati mbaya sana katika video zote hizo walioziangalia wanadai Baltasar hakutumia kinga kwenye clips zote. Mahakama imemtaka kwanza apimwe kama ana gonjwa lolote la zinaa kabla utaratibu mwingine haujafuatwa.
Kama angekuwa na maambukizi, maana yake kati ya hao 400 , angeambukiza 200 tu, hawa nao wangeambukiza circles zao, ndani ya miezi mitatu pekee hao waathirika 200 wapya wangeweza kuambukiza wapya wengine kama 700,00 hadi milioni.
 
Kiukweli wanawake nawaona takataka tu aisee baada ya kuona video za jamaa yaani kila nikikutana na mwanamke barabarani mimi ni mwendo wa kuwatukana na kuwazodoa na pia nikikutana nao hospital wakati wa kuwatibu au kuwazalisha nawatukana au kuwapiga makofi tu yaani wanawake sijui wapoje aisee yaani ndiyo chanzo cha ushetani dunia mzima aisee

Fear woman hivi viumbe hawa ndiyo chanzo cha mabaya dunia mzima aisee yaani demu yupo kwa mshikaji anaikatia kabisa na kuililia kabisa halafu kumbe ni mke wa wake za watu aisee sasa sijajua waume zao wapo kati hali gani aisee halafu na ubaya zaidi aisee demu anamsifia mshikaji kabisa aiseee kwa ni special maneno ambayo hata mumewe hajawai kumuambia! Shame on you woman
Duh🧐
 
Hawa viongozi wakivaa Makoti Yao meusi unaweza kufikiri mambo ya kitoto Huwa hawafanyi kumbe ni balaa.Nina wasiwasi na Nchi Moja yenye sifa ya kutekateka watu huenda viongozi wake wanafanana na huyu engongia
Kuna video nimemwona engonga yupo na parachuti aisee aliagiza toka tanzania ? Hakika jamaa aliwapania
 
Kiukweli wanawake nawaona takataka tu aisee baada ya kuona video za jamaa yaani kila nikikutana na mwanamke barabarani mimi ni mwendo wa kuwatukana na kuwazodoa na pia nikikutana nao hospital wakati wa kuwatibu au kuwazalisha nawatukana au kuwapiga makofi tu yaani wanawake sijui wapoje aisee yaani ndiyo chanzo cha ushetani dunia mzima aisee

Fear woman hivi viumbe hawa ndiyo chanzo cha mabaya dunia mzima aisee yaani demu yupo kwa mshikaji anaikatia kabisa na kuililia kabisa halafu kumbe ni mke wa wake za watu aisee sasa sijajua waume zao wapo kati hali gani aisee halafu na ubaya zaidi aisee demu anamsifia mshikaji kabisa aiseee kwa ni special maneno ambayo hata mumewe hajawai kumuambia! Shame on you woman
Vip shujaa Bartazar yeye umemuweka kundi gani? Yeye sio takataka?
 
Alioa mke wa mtu, huyo mwanamke hana huruma kabisa, hapo atasema shetani alimpitia au walikaa kijiwe kimoja na shetan
Na kama hiyo haitoshi watajitokeza Wanawake wenzie na wanaume washenzi(simps) kumtetea mwanamke huyo wakidai kwamba jamaa alikuwa hampi muda mke wake mpaka akachepuka na hivyo yeye ndio mwenye makosa na sio mke wake.

Jamii yetu imeshatengeneza system ya kujustify upuuzi wote wote unaofanywa na mwanamke na kurudisha lawama zote kwa mwanaume.
 
Sawa sawa sijaziona hizo video ila pia huwa siziangalii hata watu waliokuwa wanapenda kunitumia nilishawakataza
Kwa hiyo kumbe kwenye comment yako ya awali uliandika kwa kuhisi tu kwamba jamaa ndio alikuwa nategesha camera kwa Siri bila hao wanawake kujua??? Kwamba akilini mwako uliamini matukio ya kipuuzi kurekodi uchafu kama huu mwanamke hawezi kufanya kwa hiyari yake mwenyewe sio?

Well, watu kama wewe ambao siku zote mnaamini wanawake wako morally upright kwenye jamii yetu ni tatizo jingine...!!

Naomba kwanzia Leo uondoe hiyo Imani uliyonayo ya kuwaona wanawake ni kama malaika, hata wao pia ni wachafu tu kama walivyo wanaume na yapi matukio mengi tu ya kishenzi huwa wanafanya kwa hiyari wenyewe.

Ona sasa tayari ulikuwa umeshatengenza assumptions zako kwamba hao wanawake wamerekodiwa bila yao kujua na wakati huo huo huyo jamaa ukimuona ndio muovu pekee kwenye hili tukio na hao wanawake ni victims...😏😏 Mna matatizo sana nyie simps
 
Back
Top Bottom