Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kuhusu Baltazar kuna uongo mwingi sana.Uongo.
Weka hiyo video,
majungu tu hayo.
1. Hakuna video 400 zipo mbili tatu ambazo zimekuwa segemented
2.Hakuna wake wa viongozi hata hao wanaoonekana sio wake za wakuu.
3. Kuna hisia kuwa Baltazar anapigwa kisiasa, character assassination
Swala la uzinzi linafanywa na watawala wote na maofisa wanaokula hela za bure, rushwa, biashara haramu na ma chawa. So sio issue kubwa kama inavyotaka kufanywa