Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mwanamke mmoja nchini Zambia amemgeuza mumewe kuwa nyoka mkubwa baada ya kukosea kumpa dawa ya kumfanya ampende yeye tu.
Mwanamke huyo alitaka mumewe kushinda nyambani kwa ajili yake peke yake ndipo akamua kwenda kwa mganga wa kienyeji kupewa dawa ya mapenzi (Limbwata).
Alipofika nyumbani akafanya kama alivyoelekezwa na mganga lakini akashangaa baada ya kumpa dawa hiyo mumewe ghafla akaanza kugeuka joka.