Mwanamke mmoja nchini Zambia amemgeuza mumewe kuwa nyoka

Mwanamke mmoja nchini Zambia amemgeuza mumewe kuwa nyoka

mbona wanakimbiliaga kushika chatu black mamba anhaa nhaa,iyo mizimu haiwezi kubadili dizaini kama black mamba akamshika kama hivyo.A.K.A KOBOKO[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Haya mambo yapo, huoni mchawi anavyojigeuza panya? Au angalia sinema za Nigeria. Huo ndio ulimwengu wa roho. "Sivyo vyote unavyoviona ndivyo vilivyo" Utaona mtu anaendesha Prado kumbe ni "fisi".
 
Mwanamke mmoja nchini Zambia amemgeuza mumewe kuwa nyoka mkubwa baada ya kukosea kumpa dawa ya kumfanya ampende yeye tu.

Mwanamke huyo alitaka mumewe kushinda nyambani kwa ajili yake peke yake ndipo akamua kwenda kwa mganga wa kienyeji kupewa dawa ya mapenzi (Limbwata).

Alipofika nyumbani akafanya kama alivyoelekezwa na mganga lakini akashangaa baada ya kumpa dawa hiyo mumewe ghafla akaanza kugeuka joka.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Inabidi uwe zwazwa wa kiwango cha PhD kuamini story za ushirikina. Unakuta mtu na ndevu zake anaamini hii futuhi

Mganga anatafuta wateja hapo kama yale makanisa yanayosema mtu kaanguka na ungo kanisani katika harakati za kutafuta wajinga zaidi in the name of waumini.
 
Back
Top Bottom