Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Chatu hujuani nae unaweza kumbeba ivo!!Yawezekana ni chatu tu aliingia nyumbani kwao. Hizi story msiziamini, labda wangeweka video ya tukio la mwanaume akigeuka nyoka lakini nalo pia usiamini maana mengi ni simulation tu sio uhalisia.
Tema mate chini Mkuu.Huu ujinga na upuuzi wa kuaminisha watu mambo ya kusadikika bado unaendelea? Hapo hata mtoto mdogo anajua ni maigizo na sarakasi za kutafutia waganga wateja
*Zambiawitchcraft#Kupata vichekesho vingine kama hivi niponyeze namba ngapi?
Akili ndogo ndizo huamini mambo ya uchawi na uloziTema mate chini Mkuu.
Si mume wake hawajuani vipi ๐Chatu hujuani nae unaweza kumbeba ivo!!
Yawezekana ni chatu tu aliingia nyumbani kwao. Hizi story msiziamini, labda wangeweka video ya tukio la mwanaume akigeuka nyoka lakini nalo pia usiamini maana mengi ni simulation tu sio uhalisia.
Ana shida gani? Umewahi kuangalia Snakes in the City?Chatu hujuani nae unaweza kumbeba ivo!!