Mwanamke mmoja nchini Zambia amemgeuza mumewe kuwa nyoka

Si mume wake hawajuani vipi πŸ˜€
ndo nilikua namjibu huyo kiongozi aliyesema eti labda chatu aliingia ndani bahati mbaya! Hata kama ingekua hivyo sasa mumewe kajificha wapi.. nyumba ndogo?
 
Mbona majina hujaweka ya aliegeuzwa nyoka na aliyemgeuza mwenzake nyoka.

Kuficha ficha vitu ni tabia ya waongo waongo na matapeli... kitaalamu inaitwa Obfuscations.

Waganga wengi wa kienyeji wanatumia mbinu ya Obfuscation kutapeli watu
 
Km vile nakuona Herbalist unajiandaa kuwapiga watu na kitu kizito kichwani
 
Yaani hata nikiona picha ya nyoka hua natoa fasta! Hata hiyo picha ya dada Mzambia nimescrow fasta sana.. kwa kifupi sipendi manyoka nyoka kabisa!
Kama hupendi au unaogopa basi jua kuna nyoka wenye madhara na wasio na madhara.
 
Najua Mkuu.. Ila hata kama hana madhara sio rahisi sana kumfanya nyoka kua rafiki..
Wasiokuwa na elimu kuhusu nyoka ndio hawawezi kuwafanya nyoka rafiki. Kwanza mlishaambiwa nyoka ni shetani kwenye biblia hivyo mkimuona mpondeni kichwa
 
Iltrend zamani hii
 
Zinduna....song ya Bahati Bukuku....

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Chatu hujuani nae unaweza kumbeba ivo!!
Anaonekana ana uzoefu au ameelekezwa namna ya kumshika
Angalia kamshika kichwa hapo hafurukuti tena na hana nguvu
Halafu huyo ni chatu mdogo bado

Chatu hana sumu
 
Uongo huo,uongo huo,iyo ni uongo bana...hakunaaa
 
Mleta mada ni tapeli wa kiganga. Yaani binadamu ageuke nyoka. Kweli kabisa. Sijui shule gani alisoma kuwa kiumbe kimoja kinaweza kubadilika kuwa kiumbe kingine. Hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…