Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
Ndoa utapeliSasa huoni hapo ndo kapata dawa yenyewe maana huyo nyoka atakuwa anashinda naye nyumbani kuliko jamaa kiguu na njia.
Hahahaha[emoji23]Huyo Mganga asifike huku Tanzania nawaonea huruma Wanaume
Wajinga ndiyo waliwao.Mwanamke mmoja nchini Zambia amemgeuza mumewe kuwa nyoka mkubwa baada ya kukosea kumpa dawa ya kumfanya ampende yeye tu.
Mwanamke huyo alitaka mumewe kushinda nyambani kwa ajili yake peke yake ndipo akamua kwenda kwa mganga wa kienyeji kupewa dawa ya mapenzi (Limbwata).
Alipofika nyumbani akafanya kama alivyoelekezwa na mganga lakini akashangaa baada ya kumpa dawa hiyo mumewe ghafla akaanza kugeuka joka.
kuna prof mmoja alikua anasema hakuna vitu kama hivyo ni uzushi na iyo imani inatokana na wingi wa matukio tuh