Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

mara nyingi ninachokipenda mimi ninafikiri ndicho wengi wanapenda. lakini kila mwanadamu awe wa kike au kiume kuna anachokipenda kwa anayetaka awe mpenzi au mwenzi wake. hakuna maumbile ya moja kwa moja yanayopendwa na wengi zaidi
 
wengine sisi ni 4WD AINA YEYOTE ILE TWENDE KAZI
 
Mbona maelezo yako clear mkuu,kwamba inaonekana wanapenda wembamba ila at the same time mashangingi na wenye makalio na hips kubwa wanapapatikiwa sasa which is which?
Anamaanisha mashangingi ambao ni wanene wa maumbo hawana soko ndiyo maana wakimpata mwanaume hawataki kumwachia. Rahisi kama kuhesabu ABC.
 
kwa kweli sisi wanaume wa kitanzania tunapenda wanawake wenye makalio makubwa na hips kubwa hapo hamna ujanja,
nawasilisha

Tunapenda makalio makubwa ili nini?
Kwani mkeo akiwa na makalio makubwa utayala nyama?
watu tunachotaka ni sifa tu mbele za watu kuwa mkeo kaumbika...
awe mzuri wa sura,tabia zikupendeze, muandane kwa vigezo ulivokuwa umeweka.
kama kweli mtu anaweka kipaumbele cha mke ni kuwa mwenye hips na makalio,sijui???
kwa KWA KAZI ZA NJE, ndio unakuta mtu anachukua hao wenye cabohydrate na protein zilizozidi mwilini, zikahifadhiwa kwenye makalio na kwenye hips.
 
Kitu mambandanga nyie! Mimo mitoto ilojibeba ndo size yangu. Maatamu hayo, wacha kabisa!
 
Aise mangi mm mwanamke bonge akibaki na chupi na kibana nyonyo [na nyonyo iwe imejaa] uwa napiga mpaka nkitoka hapo ananibeba na kuniogesha!
 
Aise mangi mm mwanamke bonge akibaki na chupi na kibana nyonyo [na nyonyo iwe imejaa] uwa napiga mpaka nkitoka hapo ananibeba na kuniogesha!

duh..!!inakuaje meku?
 

Kichwa cha habari kinapingana na habari yenyewe. Umesema mashangingi ni wanene na mwanaume akiingia hapo anamsahau ata mke wake mwembamba aliyemwacha nyumbani, ni bora kichwa cha habari ungesema wanaume wanavutiwa na wanawake wanene
 
Mbona maelezo yako clear mkuu,kwamba inaonekana wanapenda wembamba ila at the same time mashangingi na wenye makalio na hips kubwa wanapapatikiwa sasa which is which?

Which is which nini sasa kama umesema maneno yako clear
 
Naona wanaume wanapenda yeyote tu mwenye kizomea chini kutokana na tu na mazingira.

Hili la kudata na mashangingi ni juhudi binafsi tu za mwanamke unaweza kuwa mwembamba lakini huna ujuzi kuzidi jimama, na unaweza kuwa jimama la haja lakini maujuzi hamna .

Mwanaume akikutana na mtu anayempepeta anavyotaka hata huyo mwanamke awe vipi hajali.
 
Una maana wanawake wa kula Ntwara ni diri?
 
Hili ni jibu mkuu straight wanaume wengi wanapenda wanawake wembamba kwa sababu nyingi tu.na wembamba wenyewe unategemea sio kimbao mbao
 
Nauliza jamani, kuna tofauti gani kati ya mwanamke mwembamba na mnene kwenye mahusiano? kuna rafiki yangu tumebishana sana mpaka kaniudhi, yeye anasema wasichana wembamba ni watamu kimapenzi, wakati mimi nimeishawahi kuwa na msichana mnene na mwembamba kwenye mahusiano, wote niliona watamu. ila cha ajabu alisema kuwa kuna ushahidi wa kisayansi juu ya nani mtamu na nani sio mtamu, bado nilimbishia. je? kuna mtu ana wazo tofauti na hilo. au yeye yupo sahihi?
 
Inategemea na wepesi wake kwenye majamboz na uelewa wake,anaweza kua mwembamba kama nyoka na asiweze kukukuruka na akawa mnene ukashanga anavyo jitumaa na ukamuhisi kama bua anavyo kupaisha.......
 
Mapenzi ni zaidi ya unene au wembamba wa mtu
Mapenzi ni hisia kutoka kwa moyo kwa yule uliomdondokea hata kama ni mweusi au mweupe
Utamu wa mapenzi anaujua yule anayependa bila kujalisha urefu au ufupi wa mtu, kabila wala dini
Mapenzi ni pale moyo wako unapokubali pasi na shaka kuwa unashiba kuwa na huyo uliomchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…