Kindimbajuu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2009
- 710
- 247
mara nyingi ninachokipenda mimi ninafikiri ndicho wengi wanapenda. lakini kila mwanadamu awe wa kike au kiume kuna anachokipenda kwa anayetaka awe mpenzi au mwenzi wake. hakuna maumbile ya moja kwa moja yanayopendwa na wengi zaidiHebu nomba mawazo yenu, hivi ni kwel wanaume wengi wa kiafrica wanapenda wanawake wembamba? Nauliza hvi kwasababu wale wanawake wanaoitwa mashangingi sijawahi kuona mwembamba huwa wanamiili mikubwa na hao wakimkamata mwanaume huwa hachomoki kirahisi labda aamue mwenyewe kukuachia. Na utakuta mwanaume kaacha mwanamke wake membamba kaenda kwa huyo huyo shangiingi, sasa huwa sielewi hapo na wadada wengi wako busy kwel sahizi kujikondesha ili wawavutie wapenzi wao!!