Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Kila shetani na mbuyu wake na kila mwanaume anacho anachopenda toka kwa mwanamke
 
tatizo minene itapata radhi ambayo ni shida tupu na ukweli ni kwamba slim ladies ladies wanakuwa presentabble ata ukivaa nguo inapendeza

Yaani mpaka utumie 'kishazi' kunyanyapaa wenzio! Kaangalie ule uzi wa Allien kule kisha uje kusema hapa kuwa waliajaaliwa 'rehma' za maulana nguo haziwapendezi!
 
Last edited by a moderator:
mi napenda size ya kati kama akina naniliu... nyingine napenda tu kutisama kazi ya Muumba
 
Wanaume hata hawajui wanapenda nini kwa mwanamke......

Hahahahahahahahahah,

Hapa sasa umeongea kama Babu, tena wa ukweli...from the 1947 Club.....!!

I wish men knew what they want kwenye MMU...nakuhakikishia kuwa wengefugika zaidi ya broilers!!

Babu DC!!
 
yaani mimi sijui inakuwaje hasa...nikumuona mwanamke cha kwanza kabisa ni kuangalia vidole vyake vya miguuni na mikononi...kuna aina fulani ya vidole nikishaviona tu basi nguvu sina tena....naweza tangaza hata ndoa ghafla!
 
Snipper Ina maana wewe utakuwa umeoa wanawake wengin sana. KWani kama vigezo ni hivi kwa siku waweza kuwakuta zaidi ya wanawake watano wenye sifa zako.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Dah . . .
Hizi fasihi bana!

Asante kwa kunichekesha Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke mnene mkiwa katika 6x6 kuna shughuli sana kufikia njia panda. Ukimkunja analalamika maumivu.

Lakini SLIM ukiwa hata kwa mbali unapaona njia panda paleeeeee. Na kama samaki unamkunja upendavyo.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Siwezi kuwaongelea wengine ila mm napenda slim wenye kifua saizi
 
Wanawake wanene wanawapa faraja wale wanaoogopa ukimwi lakini bado wanapenda ngono.ukimwangalia unajiridhisha kuwa ni mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…