Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Ukashusha ngap na sh ngap
I was really fat. Nilikua na kilo 80 hivi. Then nikaanza kutumia hiyo slimming tea pamoja na mazoezi ya hapa na pale saivi nina kilo 58 na nimeweza ku maintain kwa miaka mi4 hivi. Siku nikila sana nakunywa zangu slimming tea nalala. Baada ya mda hata hamu ya kula inapotea. Siku hizi situmii sana. Yani jeans niliyonunua toka 2016 mpaka leo bado inanitosha [emoji23]

Sent From Galaxy S9
 
Kusema.ukweli hata Mimi Saiv Nina kilo 80 ..kuna.muda najichukia...Natamani kupungua...lakini huyo side chick wako hujampenda kabisa...Tena.muache aende zake..atampata ambae anapenda.mapaja yake makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ananikera,af akili hana,week hii aliniomba hela ya saloon anataka kwenda kunyoa nywele zmemchosha,..si kaja kapiga panki halaf ka bleach kwa mbali nusu nimfukuze,stakag ujinga,kimoyo moyo nkamwambia utaendelea kuwa side chick milele
 
Hahaha mkuu huyo dada umemchoka tu. Mwache aende zake.

Sent From Galaxy S9
 
I was really fat. Nilikua na kilo 80 hivi. Then nikaanza kutumia hiyo slimming tea pamoja na mazoezi ya hapa na pale saivi nina kilo 58 na nimeweza ku maintain kwa miaka mi4 hivi. Siku nikila sana nakunywa zangu slimming tea nalala. Baada ya mda hata hamu ya kula inapotea. Siku hizi situmii sana. Yani jeans niliyonunua toka 2016 mpaka leo bado inanitosha [emoji23]

Sent From Galaxy S9
[emoji38]kwahyo ni journey ya 4 years?!
 
Hongera sana umeweza kupunguza uzito vizuri .
I was really fat. Nilikua na kilo 80 hivi. Then nikaanza kutumia hiyo slimming tea pamoja na mazoezi ya hapa na pale saivi nina kilo 58 na nimeweza ku maintain kwa miaka mi4 hivi. Siku nikila sana nakunywa zangu slimming tea nalala. Baada ya mda hata hamu ya kula inapotea. Siku hizi situmii sana. Yani jeans niliyonunua toka 2016 mpaka leo bado inanitosha [emoji23]

Sent From Galaxy S9

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes. Kitu kikiuzwa insta mara nyingi bei inakua ya kilanguzi. Nimeona wanatangaza slimming tea Tsh 30,000 insta wezi jaman[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent From Galaxy S9
Insta wanauza apple cinder vinegar mpaka elfu60 kwa 35 wakati mm nachukua kkoo 15k sijui kwann ni wa hvyo insta
 
Back
Top Bottom