Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Ilikua akiniimbia hvyo najifanya kununa ila deep down I was happy. Alifariki kwa ajali ya gari December last year [emoji26].

Sent From Galaxy S9
Kwahyo umeshapata mwingne ,kwel umetisher,december last yr si juz tuu,kwahyo mkuu umekata mti umepanda mti
 
Halafu mabonge wengi wachafu kwenye ikulu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38]mm nipe msaada wa hio duka na mtaaa nikajizolee tea
Hiyo hapo. Nimeshare tu kiroho safi sina ubia kwenye hiyo pharmacy wala sipo Tz [emoji23]. Kana watu watasema najipa promo

Sent From Galaxy S9
 
Hahaha mkuu huyo dada umemchoka tu. Mwache aende zake.

Sent From Galaxy S9
Akil hana,..huyu ni side chick wangu kitambo sana,alikuaga mzur sana zaman anasura nzur n shape nzur sana,sasa ndan ya hii miaka miwil amekua kifutu kama nyoka kfutu,namwambia kila siku,mama,hips sizion tena,tako silion tena,maziwa ndo yamepanda juu utafkir nin,mashavu,daaaah,..anasema ntapungua,kila siku ntapungua,sema uzur wake linanipenda sana,na kumwacha namwonea huruma,yaan niko nae had leo sabab ya huruma tuu,
 
Hahahaha umenichekesha. Ukimwacha tu atakonda na stress umtamani tena

Sent From Galaxy S9
 
Sasa ndo umeamua Kuja kunisema Huku JF, si ungeniambia nyumbani..Yaaani nlijua TU unachepuka Mbweha wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah hapo kwenye kupunguza wanga, nitakula nini kapuku mimi
Unaweza my dear...sio kwamba unakula.nyama badala ya maandazi mawili kula Moja..sukari nusu kijiko..Yaaani portion control. You can do it.. Mimi nilinenepa 2018 Kuna Dawa niliandikiwa hospital nlitoka kilo 64 Hadi 94 imagine...ndani ya mwaka mmoja..so Saiv napambana na kurudisha mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…