binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wenye kitambi na nyie mnakulaga nn? Rushwa?
Sent From Galaxy S9
Kwani mtu hawezi mpenda demu ambae sio mzuri Sana... everyone deserves to find their person. Sidhani Kama wanaowaonea Huruma wanakuwa wamewapenda ndonmaana wanawaoa.Wew ni ke mim ni me mkuu,tofautisha,sis tunawahurimiaga sana.huonag ndoa nying wana wanafunga na madem wabovu kinoumer,
Kachunwa na mdada mnene kapiga shoo kadata na tulivyoumbika na sasa mapovu kaleta humu waache wajinga ndio waliwao 😂😂😂😂Hahaha ndo na mm nmemuuliza kajuaje
Sasa utamuacha lini...au unampango wakumfanya mchepuko wakudumu?Kila nikimwacha anarud,anasura ya huruma,hachelew kulimwaga chozi mbele za watu hata mmekaa bar
KabisaaaaHalafu wanene ndo wazuri sasa K imebana wanaweza kuifinyia kwa ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhamasishe apunguze mwili, ikibidi uwe unampeleka gymKila nkitaka kumwacha huwa anantumia msg kali hyo namuonea huruma tunaendelea,nshajarib sana kumwacha nashindwa,sometime anakuta picha za main chick, na ma x wazaman sabab mi huwa sifutag picha za madem zangu wote niliokua nao,ataliaaa hapo,badae tuko fresh,.ndomana nasemaga mim hata nkija mwcha huyu ntahakikisha namwacha kwenye mazingira mazur,namfungulia biashara ya uhakika yan,ila kuwa nae milele siwez,hanivutii kabisaaa skuhiz
Watuache na minyama yetuKachunwa na mdada mnene kapiga shoo kadata na tulivyoumbika na sasa mapovu kaleta humu waache wajinga ndio waliwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lini siulikuwa unanitolea mapovu siku za nyuma tuongee ukweli ?
Hiyo apple cinder vinegar inasaidia nini?Insta wanauza apple cinder vinegar mpaka elfu60 kwa 35 wakati mm nachukua kkoo 15k sijui kwann ni wa hvyo insta
Inapunguza uzito,kitambi
Thanks
ofcourse love. .