Ananipenda sanaaa,niko nae kwa kumuonea huruma tuu yan,ila hanivutii kabisaaaa..anapenda kuvaa vi kaptura,sasa anajibanaa ili asionekane kibonge,kuna siku nkamwambia mama utakuja kunijambia mbele za watu ,mara avae limkanda tumbon et la kupunguza tumbo,yaan tunaenda date anahema juu juu,sasa raha gan hyo,sasa hyo bleach ndo kaharib kabisa ,nmemwambia asije kwangu na bleach,kabak anatoa macho tu,tatzo umri sijui,akil hana kabisa,juz siku ya wajinga mim nilisahau,akanidanganya kitu kikubwa kwel af badae et leo siku ya wajinga,nkasema hiv mi na date na kichaa ama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini mange lakiniKilo me nahisi ni mifupa sijui [emoji23]
Me nna 56 (na umri unaruhusu) ila sio kimbaumbau....nna nyama za kumpita Mange.
Mange sikushauri...sio kwa kukomaa kuleMange yupo vizuri aisee ni role model kwetu tunaohitaji kuloose weight
Jamani 58 kg hadi raha .
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo kwangu. Mie nawatafuta Sana nyie.Kwahyo sisi wanene tuende wapi ss
Yule kimbaumbau....kuna tofauti kati ya kuwa mwembamba (mwenye nyama) na kimbau mbau.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini mange lakini
Umeona eenh, tupo pamoja.Mange yupo vizuri aisee ni role model kwetu tunaohitaji kuloose weight
Jamani 58 kg hadi raha .
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mie kuliko kuwa mnene bora niwe kama Mange tena hata zaidi ya pale ikiwezekana, Mange mie sipendi ziwa lake tu maana haliendani na mwili wake lile ziwa ni kubwa sana kwa mtu mwembamba.Yule kimbaumbau....kuna tofauti kati ya kuwa mwembamba (mwenye nyama) na kimbau mbau.
i am turned on ghaflaMwanamke nyamanyama. Tako tako paja paja nyonyo
Eti eeeh
Tatizo hilii am turned on ghafla
duh, kudinda ni tatizo ?Tatizo hili
Ziwa furushi....zaidi ya pale hapana kwa kweli 😀😀Basi mie kuliko kuwa mnene bora niwe kama Mange tena hata zaidi ya pale ikiwezekana, Mange mie sipendi ziwa lake tu maana haliendani na mwili wake lile ziwa ni kubwa sana kwa mtu mwembamba.
Kudinda hata kusoma ni tatizoduh, kudinda ni tatizo ?
hayaKudinda hata kusoma ni tatizo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Smart911 pita hapa tasavali
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora mifupa kama ya Mange ila sio manyama uzembe. No offence ila mwili kama wako mie big NO.