Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Nimecheka mno....
Ananipenda sanaaa,niko nae kwa kumuonea huruma tuu yan,ila hanivutii kabisaaaa..anapenda kuvaa vi kaptura,sasa anajibanaa ili asionekane kibonge,kuna siku nkamwambia mama utakuja kunijambia mbele za watu ,mara avae limkanda tumbon et la kupunguza tumbo,yaan tunaenda date anahema juu juu,sasa raha gan hyo,sasa hyo bleach ndo kaharib kabisa ,nmemwambia asije kwangu na bleach,kabak anatoa macho tu,tatzo umri sijui,akil hana kabisa,juz siku ya wajinga mim nilisahau,akanidanganya kitu kikubwa kwel af badae et leo siku ya wajinga,nkasema hiv mi na date na kichaa ama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilo me nahisi ni mifupa sijui [emoji23]
Me nna 56 (na umri unaruhusu) ila sio kimbaumbau....nna nyama za kumpita Mange.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini mange lakini
 
Yule kimbaumbau....kuna tofauti kati ya kuwa mwembamba (mwenye nyama) na kimbau mbau.
Basi mie kuliko kuwa mnene bora niwe kama Mange tena hata zaidi ya pale ikiwezekana, Mange mie sipendi ziwa lake tu maana haliendani na mwili wake lile ziwa ni kubwa sana kwa mtu mwembamba.
 
Mvuto kwa mwanamke nadhani hautokani na wembamba wala unene tu hata jinsi mikogo na mnyumbuliko wa mwili akiwa kwenye activities zozote yaani uwe feminine. Ile hulka ya kike itamalaki.

Miondoko sio awe anatembea kama dume.Unakuta ke anadumba mgongo kwa sababu ana matiti makubwa yasionekane.Yaache yaonekane tena yasexishe.

Tembea kike,ongea kike, kula kike, fanya kila kitu kike uone kama mtu atakwambia huna mvuto.Ila Usifake.
 
Basi mie kuliko kuwa mnene bora niwe kama Mange tena hata zaidi ya pale ikiwezekana, Mange mie sipendi ziwa lake tu maana haliendani na mwili wake lile ziwa ni kubwa sana kwa mtu mwembamba.
Ziwa furushi....zaidi ya pale hapana kwa kweli 😀😀
Au kama alivyo Wema sahivi.. Aah vimiguu kama miwa.
Unene siupendi hata robo...bora mwili wa wastani.
Ila unene wa shapeless, tumbo tumbo, kono kono, kiuno hakijulikani kimeanzia wapi, tako lipo lipo tu, ziwa limedondoka mpaka bra inagoma kukusupport me hapana bora niwe kama Mange tu
 
Sasa hivi tumbo limeisha hadi raha nimefanya mazoezi nimepungua kidogo ila tumbo limeisha

Nilikuwaga mwembamba sana napulizwa na upepo nilikuwa naitwa ".... Kipepeo" nilivyofikisha miaka 15 jamani sijui hata nilifutukia wapi
Bora mifupa kama ya Mange ila sio manyama uzembe. No offence ila mwili kama wako mie big NO.
 
Back
Top Bottom