Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Kuna kibinti chembamba bala kiliingia kwenye kumi na nane zangu nikamla kimasiala.

Aise nilichokutana nacho sio bwawa tena ni bahari ya hindi.m richa ya mzigo niliio ubeba kwenye trouser yangu.

Nashukuru kibonge wangu wa sasa hata kama ana kakitambi ka kiaina na mzito kuzungusha nyonga lakini ananiburudisha kwenye 6 kwa 6.

Naomba Mungu nisipate mawazo ya kibaharia nimuweke ndani one day.

Sent using Jamii Forums mobile app

GOOD
 
Back
Top Bottom