Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu ana umbo linalomdatisha na anakuwa na sababu zake. Kwani wewe unapenda yupi kati ya hao?
Kwa walio oa na wasio oa naomba leo iweni wawazi, japo mtatoboa siri za wenzi wenu mnao wapenda, najua watatuwia radhi kwani nahitaji kujua. Kuna tofauti ati kati ya hawa wawili, wengine eti sijui wembammba wanahasira kuliko wanene, no proof.
Kuna mengi ambayo yanasemwa mitaani, lakini najua wewe msomaji unajua .
Naomba mseme ukweli kuna raha gani kati ya hawa wawili kwenye ndoa??
Tafadhali naomba nidhamu ama sivyo nitachagua kiranja.
View attachment 39236
Wembamba wana faida maana mara nyingi hawali sana, pia ukinunua kitambaa cha kumshonea nguo inakuwa very economic, pia huhitaji kuweka kitanda chako chaga za 2x4, za 1x4 zinatosha, pia mkipigana ni rahisi kumdunda, ...
wembamba wana faida maana mara nyingi hawali sana, pia ukinunua kitambaa cha kumshonea nguo inakuwa very economic, pia huhitaji kuweka kitanda chako chaga za 2x4, za 1x4 zinatosha, pia mkipigana ni rahisi kumdunda, ...
du hapana nimesha haribu, sikujua mkwe upo??
hahahaha, we kweli vituko