BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Mtamu ni yule aliyekolea sukari...bila kujali ni mnene au mwembamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inategemea ntu na ntu
Mmmh ngoja vidume waje....kwa mimi kati ya mume mnene na mwembamba, nafikiri mwembamba ni bora.
Nauliza jamani, kuna tofauti gani kati ya mwanamke mwembamba na mnene kwenye mahusiano? kuna rafiki yangu tumebishana sana mpaka kaniudhi, yeye anasema wasichana wembamba ni watamu kimapenzi, wakati mimi nimeishawahi kuwa na msichana mnene na mwembamba kwenye mahusiano, wote niliona watamu. ila cha ajabu alisema kuwa kuna ushahidi wa kisayansi juu ya nani mtamu na nani sio mtamu, bado nilimbishia. je? kuna mtu ana wazo tofauti na hilo. au yeye yupo sahihi?