Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mtamu ni yule aliyekolea sukari...bila kujali ni mnene au mwembamba
 
wewe kwani wewe wembamba huwaoni? nenda kawaonje utajua utamu wao
 
Wewe ni vuvuzela kabisa.
Wapenda wanene ni wachovu na wanapenda style si zaidi ya tatu.
Mpenda wanene Hana pumzi ya kustahimili muda mrefu kifuani
Wanaopenda wembamba abashughuli pevu anauweza wa kustahimuli kifuani mda mrefu,anapenda styles nyingi
Lazima ajiamuni sana
Anauwezo wa kuwafikisha kwenye barafu, anauwezo wa kuwapindua vyovyote , akianza shughuli hana salia mtume.
Ukimchezea mwembamba kana bibi yako ole wako atakutangaza vibaya mpaka mwenyewe utakoma
Chezea mbau mbafu weye.
 
Mwisho wa rel

Ungeonekana wa maana kama ungejiuliza kuhusu katiba navkujiandikisha pia kuhusu kura ya maoni na UCHAGUZI mkuu kuliko us...ng.. kama huu囧
 
Last edited by a moderator:
Halafu mkuu wa nchi anasema hata yeye hajui kwa nini Tanzania ni Maskini.Nadhani anahitaji akaunti JF ili aje kuona sababu kwa nini TZ ni masikini
 
Utamu wa mtu upo hivi kama kweli wewe umempenda kwel kwel lazima utapata utamu lakin kama umemtamani hapo huwezi pata utamu nafikiri nmeeleweka
 
mh..
Nadhani vitu kama utamu,uchachu,ubaya,uzuri vinategemea na muhusika mwenyewe...mfano leo hii usitegemee kupata jibu la moja kwa moja ikiwa utawauliza watu ni nini kitamu?...majibu yatakua mengi kwa sababu kila mtu ana maono yake juu ya hili..kurudi kwenye kesi yako ni kwamba jibu lake sio moja kama utawauliza watu wengi..

UTAMU WA CHAI SUKARI....lakini je sukari ipi tamu...ya malawi au mtibwa mie sijui!!
 
wengi wanapenda wanene kwa sababu ya tako wakati wa shughuli akiliangalia tu aksh zinapanda. wanaopenda wembamba wanapenda kwasababu ni easy to cary na kukatika. sl
source; comment za wana jf jukwaa fulani.
 
Nauliza jamani, kuna tofauti gani kati ya mwanamke mwembamba na mnene kwenye mahusiano? kuna rafiki yangu tumebishana sana mpaka kaniudhi, yeye anasema wasichana wembamba ni watamu kimapenzi, wakati mimi nimeishawahi kuwa na msichana mnene na mwembamba kwenye mahusiano, wote niliona watamu. ila cha ajabu alisema kuwa kuna ushahidi wa kisayansi juu ya nani mtamu na nani sio mtamu, bado nilimbishia. je? kuna mtu ana wazo tofauti na hilo. au yeye yupo sahihi?

hapa inategemea mwanaume una nguvu kiasi gani. maana wengine ni sawa ni joka la kibisa. kwaiyo utamu unatoka kwa mwanaume
 
Back
Top Bottom