rose mwakila
Member
- May 7, 2015
- 29
- 4
kila mtu ana chaguo lake na kupat utamu kulingna na anavopenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh ngoja vidume waje....kwa mimi kati ya mume mnene na mwembamba, nafikiri mwembamba ni bora.
Kichwa cha habari kinaulizia kuhusu "msichana" mimi ni kiajuza.
Ume buuuuugi, maaan.
Teh teh bibi enzi zako walikuwa wanakukoma mitaa ya Kariakoo sio
hahahahahahah we mkuu kila mtu ana interest zake mwingine ana waza siasa wengine migegedo wote tuwe na mawazo yanaayofanana sasa si ingekuwa shiiidaMwisho wa rel
Ungeonekana wa maana kama ungejiuliza kuhusu katiba navkujiandikisha pia kuhusu kura ya maoni na UCHAGUZI mkuu kuliko us...ng.. kama huu囧
Bora kwa lipi? Nadhani hizo ni fikra zako. Je ushajaribu mnene?
Kwa walio oa na wasio oa naomba leo iweni wawazi, japo mtatoboa siri za wenzi wenu mnao wapenda, najua watatuwia radhi kwani nahitaji kujua. Kuna tofauti ati kati ya hawa wawili, wengine eti sijui wembammba wanahasira kuliko wanene, no proof.
Kuna mengi ambayo yanasemwa mitaani, lakini najua wewe msomaji unajua .
Naomba mseme ukweli kuna raha gani kati ya hawa wawili kwenye ndoa??
Tafadhali naomba nidhamu ama sivyo nitachagua kiranja.
View attachment 39236View attachment 39239