Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

napenda mdada alie mwembamba kuanzia tumboni hadi kiunoni ila kuanzia nyonga, hipsi, nundu yaani apanuke mithiti ya nyigu.. Arafu juu kifuani awe size flan.. namaanisha mwanamke mwenye umbo no.8 ndio namwelewa sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea

Kama unataka izame yote unachukua kiportable, hapo unazamisha yote hadi mabetri yanaenda kuchapachapa ile antenna kwa mbuzi kagoma

Kama unataka isiingie yote unachukua bonge bonge inakuwa kinaingia kichwa na kiasi cha mboga
 
Ushauri tu kwa dada zangu, sasa ndo nimeelewa kwanini wazungu wana criteria za mwanamke mzuri aweje.

Mwanamke mwembamba kama mamiss wale akiongezeka kdogo si mbaya ila asiwe mnene kabisa.

Mwanamke ukiwa mnene unakata stimu, ushauri huu uzingatiwe na dada zetu. Yaani stimu znakwisha kabisa hata ujirembe vipi, hata ujisexishe vipi, mwanamke mnene ukishalala nae ukakaa nae wiki tuu ushamchoka sasa sjui waliooa na wanawake wao sasa ni vibonge wanaishije, mimi sidechick tu ananipa kero.
 
Back
Top Bottom