Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahaha aya bwana kumbe mwajuanaWaarabu wa pemba sie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha aya bwana kumbe mwajuanaWaarabu wa pemba sie
Kumbe wenye mapozi uliokua unasema ni mimi [emoji125]♀️[emoji125]♀️[emoji125]♀️
Mmmh hiyo imenipita nakuja unisimulieWala sio ww yupo mtu aliniletea swaga nikasema kumbe humu kuna watu wapo juu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Muumbe wako [emoji23][emoji23][emoji23]napenda mdada alie mwembamba kuanzia tumboni hadi kiunoni ila kuanzia nyonga, hipsi, nundu yaani apanuke mithiti ya nyigu.. Arafu juu kifuani awe size flan.. namaanisha mwanamke mwenye umbo no.8 ndio namwelewa sana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusutwa sunna
Naona una hasira kwa kuwa una umbo kama simba jike!!Muumbe wako [emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah wapi [emoji23][emoji23] sasa nikasirikie imagination zako jamani ili iweje.
punguza jazbaAaah wapi [emoji23][emoji23] sasa nikasirikie imagination zako jamani ili iweje.
Wazungu muda mwingine wana upuuzi..unakuta kidemu kina mifupa tupu eti ndo kizuri..ujinga mtupuMZUNGU AKISHASEMA MZURI NI MWEMBAMBA FULL STOP HUO NDIO UKWELI MIMI NI NANI NIBISHE BISHE
Sent using Jamii Forums mobile app