Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Unene sio shida sana kama mwili umekaa vizuri. Ila mwanamke mwenye kitambi kwangu ni bure kabisa, unakuta mwanamke ana kitambi kama anakulaga watoto wa watu.
Wanawake wenye vitambi vipunguzeni, ni kwa afya ya mahusiano yenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wenye kitambi na nyie mnakulaga nn? Rushwa?

Sent From Galaxy S9
 
Unene sio shida sana kama mwili umekaa vizuri. Ila mwanamke mwenye kitambi kwangu ni bure kabisa, unakuta mwanamke ana kitambi kama anakulaga watoto wa watu.
Wanawake wenye vitambi vipunguzeni, ni kwa afya ya mahusiano yenu.
Kabla sijapungua kitambi...BF wangu nilikua nikimwambia ninaumwa anasema kapime mimba..maana Hilo tumbo tumbo...Basi nlikua nacheka.....Ila kitambi noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom