Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Ulivyo amka leo 😂😂😂😂
Kwa jinsi nilivyo siitaji hata kuongezeka kwa sasa
Sasa kilo 60 mwanaume anashika nini eti,,,
Mi ni team bonge fatilia humu mada za vibonge japo mie ni wastani tu
 
Kusema.ukweli hata Mimi Saiv Nina kilo 80 ..kuna.muda najichukia...Natamani kupungua...lakini huyo side chick wako hujampenda kabisa...Tena.muache aende zake..atampata ambae anapenda.mapaja yake makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kilo 80 unajchukia! Naona kama unakufuru'ivi!

Sijajua unajichukiaje, wakati mwanaume kumiliki mwanamke mwenye kilo 80 ni sifa na heshima kubwa!

Mkeo akiwa mwembamba watu huhisi unamtesa'ujue.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu ana taste yake ila... COZ NAPENDA MM KUSHUGULIKA LAZIMA AWE AMENONA QUEEN WANGU ATULIE 2 NIWE SLAVE... NAPENDA MINOFU SIPENDI KUCHOMWA CHOMWA NA MIBA!! NATAKA HEAVYWEIGHT...flyweight aiiiii!!!
 
Kama huko 32+ kazania hizo kilo zako... Ila kama under 30....nakusikitikia tu hapa
Hahaha ukiniona mwili wangu nikakwambia na idadi ya watoto niliyonayo hutaamini macho yako

Max ni 80 na haipungui 75 mwili wastani kabisa huo kwa umri wowote ule

Ila tu inategemeana na umbo la muhusika kuna mwingine kilo hizo anaonekana km pande la mmaza
 
Unene wa mwanamke unapendeza pale ambapo unaendana na urefu wake na pia asiwe na tumbo kubwa halafu awe msafi ...ila kimbaumbau hapana kwakweli
 
Back
Top Bottom