Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Binafsi sijawahi kuwa na mahusiano na mabinti wanene...nje ya sura,ukarimu,sauti,urefu au ufupi,uvaaji,ucheshi na utundu basi mie nafwa kwa slim ladies tangu 14yrs old nilipompata wa kwanza!
 
yaani mimi sijui inakuwaje hasa...nikumuona mwanamke cha kwanza kabisa ni kuangalia vidole vyake vya miguuni na mikononi...kuna aina fulani ya vidole nikishaviona tu basi nguvu sina tena....naweza tangaza hata ndoa ghafla!

kama hizi zangu mkuu....
fn0VomdL7iUl.jpg
 
Du! Kumbe tunasoko

Saaana! loh huwa najifurahia mwenyewe jinsi nilivyo ila shida ni kuwa wakaka wengi wanatupenda sie wembamba kwaajili ya kuoshea jina tu lkn si waoaji kbs....hapo tu ndo huwa wananiboa sn.
 
hapo ukichunguza vzr ndo utagundua na wadada na wengi wa aina hiyo wanapenda wanaume wanene.
 
Raha sana kuongozana nao
mtaani.
Kila jicho linawageukieni nyie kiasi ambacho midume yenye uchu inasahau
kabisa wajibu wao.
Nikiwa nimetoka lunch mchana huu wa leo maeneo ya Posta mpya, magari
mawili yamegongana kisa, madereva wote wawili walikuwa wanamshangaa
mrembo.

Acha fix wewe!
 
mbona mie napenda mibonge yenye minyama nyama ya kutosha. sio kweli.
 
Back
Top Bottom