Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe, bali mwenye hekima huijenga nyumba

Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe, bali mwenye hekima huijenga nyumba

Usiwe na hasira
Jibu hoja
It takes two to tango,
Kila upande unaweza kua chanzo cha ndoa kuvunjika,

Kuna wanaume wanasoma maandiko out of context kisha wakajivisha ukamilivu dhidi ya mwanamke
 
Mtoto wa kiume unajibu hoja kwa kuchekacheka na vi emoji,

Inawezekana na wewe ni miongoni mwa qapumbafu ndo mana unaamini upumbafu upo kwa wanawake pekee
Tatizo utoto umekuathiri ndio mana unafikiri kila mtu mtoto. Mimi ni mwanaume, sio mtoto wa kiume. Nina mtoto wa kiume wa umri wa miaka mi 5 sasa na huyo si wa kwamza wala wa pil kuzaliwa. Sasa ndugu wewe hiz personal attacks tuziweke kando mana hazitusaidii, jibu hoja.UNAFIKIRI UNA AKIL KULIKO HIVYO VITABU MASHUHURI ULIMWENGUNI????
 
Back
Top Bottom