mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,559
- Thread starter
- #21
Mkuu shida sio kushindwa kufanya biashara kwa maana uwezo, shi ni kwamba kinachopatika kinatumika vibaya tena kwa kuhonga hivi viben10Mfungulie biashara ye anakua msimamizi tu ila biashara inakua ya familia. Mahesabu pia na wewe unayakagua, hiyo ya kumpa mtu mtaji wa mbei mbaya eti aendeshe biashara ilhali hujui kama anaweza kufanya biashara au lah ni kumuonea tu, lazima aone ni hela nyingi atatumia hovyo na kupata ushauri wa mashosti mwisho uje kumlaumu bure.