Mkuu shida sio kushindwa kufanya biashara kwa maana uwezo, shi ni kwamba kinachopatika kinatumika vibaya tena kwa kuhonga hivi viben10Mfungulie biashara ye anakua msimamizi tu ila biashara inakua ya familia. Mahesabu pia na wewe unayakagua, hiyo ya kumpa mtu mtaji wa mbei mbaya eti aendeshe biashara ilhali hujui kama anaweza kufanya biashara au lah ni kumuonea tu, lazima aone ni hela nyingi atatumia hovyo na kupata ushauri wa mashosti mwisho uje kumlaumu bure.
Sababu kubwa ni usimamizi mbovu wa biashara. Si ajabu kama uyo jamaa angekua anakagua hesabu kila siku au wiki, angejua mapema ubadhirifu na kuziba mianya mapema. Alimpa biashara wakati haiwez ndio maana akatapanya pesa.Mkuu shida sio kushindwa kufanya biashara kwa maana uwezo,shi ni kwamba kinachopatika kinatumika vibaya tena kwa kuhonga hivi viben10
Atafute pesa ya kodi ya biashara, atafute pesa ya matumizi ya nyumbani, ada za watoto halafu pia ahakikishe anamsimamia mkewe asionge hizo pesa.🤣Sababu kubwa ni usimamizi mbovu wa biashara. Si ajabu kama uyo jamaa angekua anakagua hesabu kila siku au wiki, angejua mapema ubadhirifu na kuziba mianya mapema. Alimpa biashara wakati haiwez ndio maana akatapanya pesa.
Na lazma umuulize ye anapenda nini sio kumfungulia tu biashara unayoona wewe inafaa kwako.
Jamaa sasa hivi ana kitambi sio mchezo unaambiwa.
Kitambi kimechangia kuleta shida aisee.
Ndo uanaume huo, kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa, usikwepe majukumu kijana. Na sio amsimamie asihonge pesa ila awe na desturi ya kukagua biashara inaendaje.Atafute pesa ya kodi ya biashara, atafute pesa ya matumizi ya nyumbani, ada za watoto halafu pia ahakikishe anamsimamia mkewe asionge hizo pesa.🤣
Akili ndogo.Ndo uanaume huo, kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa, usikwepe majukumu kijana. Na sio amsimamie asihonge pesa ila awe na desturi ya kukagua biashara inaendaje.
Kama na wewe una akili moja na uyo jamaa ake mtoa mada mtahonga sana kwa kukosa usimamizi wa mali zako mwenyewe.
Wanaishi wapi mkuu?Kama izo demographic data za wahusika umezitaja vizuri kabisa bila kupepesa macho, huyo kaka ni shemeji yangu na huyo dada ni binamu yangu mtoto wa mama mkubwa. Kwa kweli wacha dada aone joto la jiwe tulishamshauri kama familia anakataa kushaurika. Acha akome
Ndo uanaume huo, kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa, usikwepe majukumu kijana. Na sio amsimamie asihonge pesa ila awe na desturi ya kukagua biashara inaendaje.
Kama na wewe una akili moja na uyo jamaa ake mtoa mada mtahonga sana kwa kukosa usimamizi wa mali zako mwenye
Jambo lolote bila usimamizi ni sawa na bureNdo uanaume huo, kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa, usikwepe majukumu kijana. Na sio amsimamie asihonge pesa ila awe na desturi ya kukagua biashara inaendaje.
Kama na wewe una akili moja na uyo jamaa ake mtoa mada mtahonga sana kwa kukosa usimamizi wa mali zako mwenyewe.
We sema akili ndogo unaacha kuchukua ushauri wa bure kabisa. Yakikufika utanilipa nikushauri.Akili ndogo.
Ndio hivo mkuu, kama unaona mkeo analega lega mpige tafu kwa ushauri wa hapa na pale ili walau apate ABC za kuongoza biashara. Sasa umemtoa mdada watu kwao uko alikua hata hauzi pipi mnatwisha majukumu ya kufungua biashara ya mtaji wa M1+, auendeshe bila maarifa yoyote na bila usimamizi wako. Kufeli apo ni 22/7.Jambo lolote bila usimamizi ni sawa na bure
We zingatia kulinda pesa unazompa mkeo asionge ukagongewa.We sema akili ndogo unaacha kuchukua ushauri wa bure kabisa. Yakikufika utanilipa nikushauri.
Unapotea mkuu huwezi kumchunga kiasi icho yaani umpe pesa na uchunguze anatumiaje??We zingatia kulinda pesa unazompa mkeo asionge ukagongewa.
Hapo sawa na kama haaminiki muache.Unapotea mkuu huwezi kumchunga kiasi icho yaani umpe pesa na uchunguze anatumiaje??
Kikubwa ziba mianya ya matumizi mabovu kama ivo kumtupia 1M tu bila usikamizi wowote.