Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe

Siku hizi wanaume ni wambea kuliko wanawake. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
We habari ya familia za watu zinakuusu nini?
 
Mwanamke ni mstaarab sana, hakutaka kumsumbua mumewe kwa show ya nguvu maana alikuwa bize kuingiza pesa tu. Kingine, kitambi kwa kiasi kikubwa huchangia kushuka nguvu za kiume na jamaa yako ana kitambi kama mimba ya miezi 13, unategemea nini? Mwache demu aliwe tu tena mpe connection zangu tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…