Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 717
- 1,903
Habari zenu wana jukwaa anahitajika mwanamke ambaye yupo tayari kwa ndoa ambaye yupo serious anitumie ujumbe PM (DM) awe muislam umri 25+ awe tayari kwa ndoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapo mtaani kwako CV yako ni chafu kiasi gani hadi umejikuta JfHabari zenu wana jukwaa anahitajika mwanamke ambaye yupo tayari kwa ndoa ambaye yupo serious anitumie ujumbe PM (DM) awe muislam umri 25+ awe tayari kwa ndoa.
Kwani hili jukwaa limeanzishwa la nini?kama unaona mada haikuhusu Kaa pembeni sio kila kitu lazima uchangieMkuu hapo mtaani kwako CV yako ni chafu kiasi gani hadi umejikuta Jf
Wewe una umri gani? Elimu yako ipi ? Kazi yako ya kuingiza kipato ipi.na unaingiza kiasi gani kwa mwezi? Afya yako ikoje ulishapima magonjwa kama ukimwi nk ?Habari zenu wana jukwaa anahitajika mwanamke ambaye yupo tayari kwa ndoa ambaye yupo serious anitumie ujumbe PM (DM) awe muislam umri 25+ awe tayari kwa ndoa.