Habari zenu wana jukwaa anahitajika mwanamke ambaye yupo tayari kwa ndoa ambaye yupo serious anitumie ujumbe PM (DM) awe muislam umri 25+ awe tayari kwa ndoa.

Wewe una umri gani? Elimu yako ipi ? Kazi yako ya kuingiza kipato ipi.na unaingiza kiasi gani kwa mwezi? Afya yako ikoje ulishapima magonjwa kama ukimwi nk ?