KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
mm ndio maana najitahd mke wangu asiende mji aliokulia bila kuongozana na mm. namuogopa sana aliyembikiri
Unadhan hawezi mpigia simu wakutane mkoa uliozalliwa wewe. What if jamaa ndo anamfata unapoishi.?
Mm yule anaeishi tanga yaan mwafulani siwez msahau katu hata nikiolewa
Dah!!! Sitamsahau mwanaume wa wanaume , Yesu mnazareti. Ni huyo tu
mm ndio maana najitahd mke wangu asiende mji aliokulia bila kuongozana na mm. namuogopa sana aliyembikiri
Mmmh mi hata sisemi maana nna hasira nae
Haswa tukikumbuka wapi alipotutoa acha tuu . Kwa maana matendo yake tuu huwa ni kilakitu kwetu.. Dear it was exactly I was thinking and nilitaka kusema. Asante sana kwa Ku share the same thing. Thanks..
Aisee!!! Siku zote ninapopita katika magumu ndugu zangu wanakaa kimya, marafiki zangu wanakaa pembeni, huku maadui zangu wakinicheka na kutamani kushuhudia anguko lango, lakin huyu mwanaume wa wanaume peke yake huniambia SONGA MBELE NIPO NA WEWE ooh!!!! Moyo wangu hububujikwa furaha na ghafla nawaona adui zangu wakinuna. Ameweka chapa moyoni mwangu sitomsahau kamwe.
Mmmh mi hata sisemi maana nna hasira nae
Aliyenibikiri... Siwezi msahau