Mwanamke/mwanaume gani hautamsahau katika maisha yako?

mm ndio maana najitahd mke wangu asiende mji aliokulia bila kuongozana na mm. namuogopa sana aliyembikiri

Unadhan hawezi mpigia simu wakutane mkoa uliozalliwa wewe. What if jamaa ndo anamfata unapoishi.?
 
Siwezi msahau kabisa ndo maana yupo kwenye passwords zangu
 
Nina irodha kubwa tu ya nisiowasahau ,,, ntataja nikipata mda
 
Dah!!! Sitamsahau mwanaume wa wanaume , Yesu mnazareti. Ni huyo tu

Haswa tukikumbuka wapi alipotutoa acha tuu . Kwa maana matendo yake tuu huwa ni kilakitu kwetu.. Dear it was exactly I was thinking and nilitaka kusema. Asante sana kwa Ku share the same thing. Thanks..
 
Aisee!!! Siku zote ninapopita katika magumu ndugu zangu wanakaa kimya, marafiki zangu wanakaa pembeni, huku maadui zangu wakinicheka na kutamani kushuhudia anguko lango, lakin huyu mwanaume wa wanaume peke yake huniambia SONGA MBELE NIPO NA WEWE ooh!!!! Moyo wangu hububujikwa furaha na ghafla nawaona adui zangu wakinuna. Ameweka chapa moyoni mwangu sitomsahau kamwe.
 
Haswaaa Ameeeen... I feel so Happy we both have the same man.. Thanks..
 
mwanafunzi aliyeibukia kuwa mwalimu mkufunzi ,,
 
Yesu ni mwanaume ninaempenda hakuna mfano duniani.asante Yesu wangu kwa kuyapigania maisha yangu popote nipitapo maana umekuwa Ngao yangu juu ya wanadamu wote wema na waovu.
 
Aisee!!! Siku zote ninapopita katika magumu ndugu zangu wanakaa kimya, marafiki zangu wanakaa pembeni, huku maadui zangu wakinicheka na kutamani kushuhudia anguko lango, lakin huyu mwanaume wa wanaume peke yake huniambia SONGA MBELE NIPO NA WEWE ooh!!!! Moyo wangu hububujikwa furaha na ghafla nawaona adui zangu wakinuna. Ameweka chapa moyoni mwangu sitomsahau kamwe.

Yaani wewe na MATUSI unayotukana hapa jf unajinasibu unampenda YESU du wonders never cease
 
Leonard Robert Pita mbali na mim kabisa, wala usicoment kwenye post yangu yoyote pleasee!!!! Maana unaniletea ibilisi moyoni bila sababu, naomba assume damu zetu haziendani ivo shika lako nashika langu, Nampa Mungu yaliyo yake Mungu na Kaisari yaliyo ya kaisari, so uninichokonoe ukitegemea nitakujibu AMeen!!! Haipo hiyo najua umeelewa vema
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom