Mwanamke/mwanaume gani hautamsahau katika maisha yako?

Mwanamke/mwanaume gani hautamsahau katika maisha yako?

Rahma Salum, Mgido aliyechanganya na Mpare. Tanga kunani wakati wa A-Level Usagara
 
Mkuu hilo jina ulilotaja kwakweli umenigusa kabisa!Sinto msahau huyu msichana alieonekana kuwa na sura ya Upo iliyoambatana na aibu yakiwango cha juu kabisa lakini kumbe alikuwa ni chui aliejivisha ngozi ya kondoo.Ni msichana wangu wakwanza kumuanzishia Uzi humu!
So tunataja majina tu halafu basi?
mfano niseme Hidaya sitamsahau...end of story?
 
Ata mimi habari na wewe sina..ila nilishangaa ww kujiita mtu wa YESU wakati ni mtu wa matusi

Wew kama nani unaweza kunijudge mim, acha umburula we mdada, kwanza nishakupa msimamo wangu juu ya post zangu, nakereka sana kuona binadam anaposhindwa kuelewa jambo dogo. Katafute pesa ili ukose muda wa kunyooshea watu vidole.
 
Mi sitawasahau hawa wachuchu....

1] Tecla
2] Tatizo
3] Shinunu
4] Fatuma
5]Tatu
 
Back
Top Bottom