Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe na MATUSI unayotukana hapa jf unajinasibu unampenda YESU du wonders never cease
Kwanza leo iwe ndio mwisho ku quote post yangu yoyote, ukiona post yangu pita nayo mbali. Kama una akili utakuwa umenielewa
Ukipenda nitukane..nakukumbuka sana kwa matusi..unapenda sana kutukana..
Aliyenibikiri... Siwezi msahau
Sina habari na wew, unajishuku bureeee!!!
Sina habari na wew, unajishuku bureeee!!!
So tunataja majina tu halafu basi?
mfano niseme Hidaya sitamsahau...end of story?
Aliyenibikiri... Siwezi msahau
kuna nn hapa mbona naona kama panataka kuwa bujumbura
hapa sielewielewi wadau naona mnapigana beat
Ata mimi habari na wewe sina..ila nilishangaa ww kujiita mtu wa YESU wakati ni mtu wa matusi
Hakuna beat wala nin, hapa tunakumbushana sitomsau,
Dah!!! Sitamsahau mwanaume wa wanaume , Yesu mnazareti. Ni huyo tu