SASA MSEME HATUWAJALI HAYA NDIYO MAMBO YA KIKUBWA..
Nifanyeje nimfikishe kileleni mpenzi wangu????
mpe mwenge wa uhuru, mvalishe magwanda kisha mwambie kuwa leo ni tisa disemba sitini na moja, midadi itampanda na atafika kileleni kuusimika mwenge
Muulize yeye mwenyewe if you are doing her right...
kila mtu ana sehemu zake sensitive....
Alafu unamiaka mingapi vile???
Ukiona hafiki omba lifti.Nifanyeje nimfikishe kileleni mpenzi wangu????
am i doing u right ?lol
Waombe wanaoweza wa kufikishie, wambie ukweli kua wewe ni mzembe, mdhaifu huezi hata kutoboa baloon, waukweli watakusaidia kupeleka moto.
Nifanyeje nimfikishe kileleni mpenzi wangu????
kwa kweli miaka inavyokwenda
definition ya mwanaume itakuwa tofauti..
inaonekana uanaume unapungua kwa wanaume wengi....
eehh mungu tulinde...........
kwa kweli miaka inavyokwenda
definition ya mwanaume itakuwa tofauti..
inaonekana uanaume unapungua kwa wanaume wengi....
eehh mungu tulinde...........
mkuu mtu akiuliza hilo swali...ujue ni wa KIUME sio Mwanaume...tofauti ipo...
kwa kweli miaka inavyokwenda
definition ya mwanaume itakuwa tofauti..
inaonekana uanaume unapungua kwa wanaume wengi....
eehh mungu tulinde...........
On a very serious note... INASIKITISHA...
Tatizo mambo mengi sasa imekua too much usasa..
where are days when the guys lazima aende mazoezini
au mpirani kucheza kidogo, where are the days when a
guy was so into making sure he shows he is man enough
in front of his lady... seriously with the pace maisha yanaenda
ambapo mazoezi vijana wanafanya ni kuenda clubbing tena
wanahakikisha wanaenda kutembea huku wamekaa... I feel
pity for my son....